Wednesday, April 6, 2011

UKIFIKA ROMA ...



Ukienda Roma fanya kamma Warumi wanavyofanya! Hii ni nahau, kwa hapa imetumiwa na wageni hawa (Wawekezaji) nadhani baada ya kuona huu utaratibu umeendelezwa hapa nchini. Ni uvunjifu wa sheria tuu, ni hapa Tanzania ti ndiyo wanafanya hivyo sina uhakika kama wanaweza kufanya wakiwa nchini mwao (sifahamu uraia wao). Picha hii niliipiga wakiwa maeneo ya Tegeta Ununio - mashambw ya chumvi. Kwa namna yoyote haikubaliki, ni kukiuka sheria kulikozidi kiwango.

No comments:

Post a Comment