Wednesday, April 6, 2011

MACHWEO DAR ES SALAAM


Ni machweo hapa Slipway Hotel, Dar es Salaam, mandhari nzuri ya jua linalozama mara nyingi hutazamwa na vijana hasa hasa katika uchumba wao ama siku za mwanzo za ndoa. Agharab kuangaliwa na wazee - hasa wa Kizungu, wao hupendelea kuangalia Mawio kwa vile huwakumbusha ujana wao na pia huashiria uwepo wa nguvu mpya!

No comments:

Post a Comment