Thursday, March 18, 2010

RUVUMA DELTA





Nilitembelea Ruvuma delta katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji. Ni sehemu ya kuvutia sana na kuna umuhimu wa pekee kwa wana mazingira na shughuli za utalii.
Tuliweza kupanda mitumbwi iliyopo na ambayo hutumika kuvusha abiria wa nchi hizi mbili. Unawza kuona viboko katika mto ni wengi, mto ni mkubwa sana - hii ni changamoto nyingine katika Kilimo kwanza!!

No comments:

Post a Comment