Wednesday, March 17, 2010

NIKIWA KIJIJINI BULUNGWA - KAHAMA




Hapa ni kijijini nilipozaliwa, ni kawaida kuandaa kitoweo kilichotolewa na mama mzazi kwetu sisi wageni. Picha ya pili ni mdau Kasimba akiwa pamoja na nyanya yake (mama yangu) wakibadilishana mawazo baada ya kupata chakula. Picha ya mtoto akiwa amejipamba baada ya kufurahia maisha ya kijijini, huyu ni mjukuu wangu Derrick anasoma Nairobi. Ni maisha ya kupendeza kijijini.

No comments:

Post a Comment