Monday, March 29, 2010

ROAD KILLINGS



Amazing road killing along the road from Nangururkuru - Singino to Kilwa Masoko. A young python was found killed by a racing car.

Machibya Wa Ndita at 90 days Old


He is fighting, struggling and what have you! He is doing fine and strong following her old sister - Kasinde (at 4 and half years old). The only kids I have blessed with.

TEMBELEA KILWA!




Nikiwa Kilwa Masoko hivi karibuni, niliweza kuona uzuri wa Kilwa. Niliweza kutembelea Kilwa Kivinje na baadaye Kilwa Masoko. Ni baadhi ya picha kidogo nilizonazo, picha kuonyesha sehemu ya Kilwa Kisiwani, Ngome ya Wareno na boti ya starehe katika moja ya hoteli ya kitalii.

TOYOTA CHASER FOR SALE




Toyota Chaser (Avanis) in good condition is ready for sale. Contact 0713349641

Thursday, March 18, 2010

UJENZI NA MABADILIKO YA HALI YA HEWA






Hii ni Newala juzi (16/03/2010) ujenzi wa barabara unaendelea na hali ya hewa ni nzuri kwa kazi. Baada ya saa moja hali imebadilika, ni ukungu mzito ukiambatana na manyunyu ya mvua kidogo. Wenyeji wamezoea, gari lazima iwe na taa za ukungu ili kuwa salama zaidi.

RUVUMA DELTA





Nilitembelea Ruvuma delta katika mpaka wa Tanzania na Msumbiji. Ni sehemu ya kuvutia sana na kuna umuhimu wa pekee kwa wana mazingira na shughuli za utalii.
Tuliweza kupanda mitumbwi iliyopo na ambayo hutumika kuvusha abiria wa nchi hizi mbili. Unawza kuona viboko katika mto ni wengi, mto ni mkubwa sana - hii ni changamoto nyingine katika Kilimo kwanza!!

Wednesday, March 17, 2010

NIKIWA KIJIJINI BULUNGWA - KAHAMA




Hapa ni kijijini nilipozaliwa, ni kawaida kuandaa kitoweo kilichotolewa na mama mzazi kwetu sisi wageni. Picha ya pili ni mdau Kasimba akiwa pamoja na nyanya yake (mama yangu) wakibadilishana mawazo baada ya kupata chakula. Picha ya mtoto akiwa amejipamba baada ya kufurahia maisha ya kijijini, huyu ni mjukuu wangu Derrick anasoma Nairobi. Ni maisha ya kupendeza kijijini.

LAKE KINDAI - SINGIDA MUNICIPAL




Two pictures showing developments along beaches of the lake. It can be seen now as an emerging posh residential area in Singida.

ENROUT TO MTWARA FROM DAR



Photo 1 & 2 above, this is Mingoyo (Mnazimmoja) in Lindi - Mtwara/Masasi highway. You can see beautiful scenario of the southern corridor, it is 81 km to Mtwara.