Tuesday, July 13, 2010

NANI KAMA MEMBE?



Hili ni banda la biashara, lipo pembeni mwa barabara ya Mingoyo Mtwara katika wilaya ya Lindi vijijini. Miezi miwili iliyopita halikuwepo na wananchi hawa wauza matunda walipanga bidhaa zao kwenye meza chakavu pasipo na paa. Naweza kuona mabadiliko haya, ni hatua!! Soma pia moja ya maadishi kwenye banda hilo!

No comments:

Post a Comment