Wednesday, October 27, 2010

VITA VYA UKOMBOZI


Hapa ni mahali yalipo makaburi ya mashujaa, wapiganaji wa Kitanzania waliopoteza uhai wao huko Msumbiji na miili yao kusafirishwa na kuzikwa upya. Ni maeneo jirani na barabara ya Mtwara - Newala karibu na Naliendele.

No comments:

Post a Comment